mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Numbisa Kwani anakunywaga ile mimvinyo myekundu unayogawaga. Kabla yako kuliwahi kuwa na mtu hapa alikuwa anatembea na wedding rings za visoda. Alioa hapa hapa akafikisha karibu wake sita...Ila sijaona matunda yako ya red wine mkuu...Hamia kwenye wedding rings ikibidi achana na red wine....
Hahahahaha pole
Yaani Yego ni mtoto ila stori zake za zamaniiiiNa kenyewe kahenga tu. Kanajua mpaka mambo ya zamani mno...
Walimuua huyu mama dah !!!
Siku hizo linavuta bhangiVuta subra Mkuu! Subira yavuta heri! [emoji1]
Kanyonge ketu hako. Kafungulie PM ikibidi ili angalau kaliwazike kidogo. Meseji mbili tu kakianza mambo ya mvinyo mwekundu unatia loki na funguo unazitupa baharini....Jaman jaman mnajua kumuonea yego
Mkiwaga PM sasa wapooolee kweli akhu. Baki hapa hapaEmbu acha hizo, usiwasikilize hao walugaluga! Open ze doo fo mi, plizi! Aiem oni mai wei! [emoji124][emoji124][emoji124]
Jaman jaman mnajua kumuonea yego
Hahhahah hioo jaman nimeongezea na lisauti nene kali la wakoromije halisi hahahhaJamaniiiiiii !!!