andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Lakini yego mbona wewe ni tatizo sana!!Jibu mmeshapewa lakini bado mmemkomalia tu, mwacheni apumue aisee!
Subiri kwanza,tunaenda taratibu ili mtoto aelewe tuna mpango gani na maisha yake.
Lakini yego mbona wewe ni tatizo sana!!Jibu mmeshapewa lakini bado mmemkomalia tu, mwacheni apumue aisee!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] una majibu ya hovyo shuainiii wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wahenga hamna kitu, msimhengeshe mtoto wa mhenga mwenzenu!
Teeeynaaa huwa nasita kukufungulia weuweee aaah Ngoja nikatafute komeo jipyaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] una majibu ya hovyo shuainiii wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jamaniiiiiii !!!Tajiri shimba
Lishida kuuubwaa linatatuliwa na mods pekee wengine hatunaga maujanja
Aisee!!! Kwa kweli Watanzania tutaendelea kuwa maskini mpaka tuchoke. Hatufanyi kazi ya kuzalisha ila tupo busy na mambo yasiyo ya kuzalishaAiseee huo cha Mtoto kuna Uzi mmoja mkulu anaomba aombewe kuna kakomenti anaomba Mapenzi yake yatimizwe bwana ametoa bwana ametwaa jina lake lihidimiwe rest in peace our beloved prezidaa
Watu wamepinda kweli
Tajiri? Mimi huyu? Hapana bana. Mi sina kitu...na kidogo Mola anachonijalia nashea na wenzangu wenye shida zaidi yangu. Tena sasa na mama hayupo ndo kabisaaaaa [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Tajiri shimba
Lishida kuuubwaa linatatuliwa na mods pekee wengine hatunaga maujanja