Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Simu ya 8110 imejipinda kidogo - jambo lililosababisha simu awali kuitwa 'simu ya ndizi'.
Ina kifuniko cha kibodi ambacho kinateleza na kufunika kibodi wakati mtu haitumii.
Lakini tofauti na simu iliyoonekana kwenye filamu ya The Matrix, kifuniko hicho hakitelezi kivyake, lazima kisongeshwe kwa mkono.
 
efc4ac238b606a63f38aaae165893ab1.jpg
 
Back
Top Bottom