Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Washambuliaji wa Barcelona Lionel Messi, Luis Suarez na Philippe Coutinho wameidhinisha mipango ya klabu hiyo kuwaleta wachezaji watatu wapya msimu unaokuja. (Diario Gol - in Spanish)
 
Tottenham wanapanga kumsaini mshambulizi wa Sheffield United wa umri wa miaka 20 David Brooks. Klabu hiyo ya Premier League ina mpango wa kukubaliana pauni milioni 10 wa raia huyo wa Wales. (Sun)
 
Kiungo wa kati wa Roma Radja Nainggolan alioneka kupoteza jino alipogongana na Franck Kessie wakati Roma ilishindwa na AC Milan siku ya Jumapili. (Football Italia)
 
Kampuni ya Nokia imetangaza kuwa imeunda simu ya Android ambayo ndiyo imara zaidi kiasi kwamba haiwezi kuvunjwa kwa mkono.
Kampuni hiyo pia imeanza kuuza simu nyingine yenye sehemu ya kuteleza, ambayo inafanana na simu zilizokuwa maarufu mwishoni mwa miaka ya 1990 na mwanzoni mwa miaka ya 2000.
 
Simu hiyo ya Nokia 8 Sirocco imeundwa kwa sehemu ya juu ya chuma cha pua na inadaiwa kuwa imara zaidi kwa sasa.
Simu ya Nokia 8110 inakumbatia muundo wa zamani wa simu, ambao ulitumiwa kwenye filamu za Matrix.
 
Wachanganuzi wanasema simu hizo mbili zitaendeleza ufanisi wa simu za Nokia sokoni uliopatikana mwaka jana kutokana na uuzaji wa simu maarufu za zamani za Nokia 3310.
Ingawa simu hizo zinauzwa kwa jina la Nokia, zinaundwa na kampuni ya Finland kwa jina HMD Global ambayo ilipata haki na idhini ya kuunda na kuuza simu za Nokia.
 
Ndo maana nikafunga PM maana ingekua wazi nisingekua na uhuru nilionao,ukiingia pm tu interview unaitwa nani,una miaka mingap,unajishughulisha na nini etc daah
Huwezi hiyo PM ukaifungua kwa watu wachache tu kama mimi hivi, Andjul na kijana mpole/mkali?

Hayo maswali si ndiyo mwanzo wa kujuana huo. Ukiulizwa unadanganya na wewe unauliza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kampuni hiyo ilijipatia umaarusu sana katika Maonesho ya Dunia ya Simu za Rununu mwaka 2017 ilipozindua simu za 3310 pamoja na simu nyingine za kisasa zenye nguzu zaidi.
Yamkini kampuni hiyo ililenga kurudia ufanisi wa mwaka jana katika maonesho ya mwaka huu wikendi mjini Barcelona.
 
Mwaka uliopita ulikuwa kuhusu kuzindua upya biashara ya simu za kisasa za Nokia," alisema Ian Fogg kutoka shirika la ushauri la IHS Technology.
"HMD walianza kuuza simu hizo nchi za nje miezi saba ya mwisho mwaka 2017, na katika kipindi hicho walifanikiwa kuuza zaidi ya simu 8 milioni.
 
Simu hiyo hata hivyo imerejesha tena uwezo wa Pro Camera ambao Nokia walikuwa wameuweka kwenye simu zao.
Hii inawawezesha wanaozitumia simu hizo kudhibiti kikamilifu wenyewe shughuli ya kupiga picha.
Uamuzi wa kutumia fremu ya chuma cha pua unafuata uamuzi sawa na wa Apple walipounda iPhone X, lakini bei yake ni ya chini.
 
Huwezi hiyo PM ukaifungua kwa watu wachache tu kama mimi hivi, Andjul na kijana mpole/mkali?

Hayo maswali si ndiyo mwanzo wa kujuana huo. Ukiulizwa unadanganya na wewe unauliza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aah wapi tatizo ntadanganya wengi mwishowe nisahau uongo niliousema. Niliowadanganya PM wametosha kabisaaa
 
Sirocco itagharimu euro 749 ($921; £659) itakapoanza kuuzwa Aprili.
"Historia imeonesha kwamba watu wengi huweka simu zao mifuko ya nyuma, na wanapoketi simu hizo huharibika," anasema Ben Wood kutoka shirika la CCS Insight consultancy.
"Hivyo, hii ni mbinu nzuri ya kusaidia simu hizo ziwe za kipekee sokoni."
Uamuzi wao wa kutumia kiendesha simu cha Qualcomm 835 badala ya 845 hata hivyo huenda ukawavunja moyo baadhi ya wateja.
 
Kwa sasa uzalendo ni pale akifa au kuumwa kiongozi wa upinzan basi onyesha majonzi makubwa mno tena kupita majonzi ya kupoteza ndugu wa damu hapo utaonekana mzalendo wa hali ya juu na likes nyingi utamwagiwa na pongezi tele
Yap. Wa huko hata akiwa na homa tu inabidi watu watiririke kwenda kumwona hospitalini. Wasioenda basi ama wanahusika na hiyo homa au siyo wazalendo. Hata sijui tunaelekea wapi kwa kweli. I hate politics na especially wanasiasa....
 
Simu ya ndizi
HMD pia wamezindua simu nyingine tatu za Android, ingawa zinaweza kuzidiwa sifa na 8110.
Ni simu ya kawaida tu, ambayo ina programu tumishi kadha (app) na inatumia mfumo endeshi wa Kai.
Miongoni mwa app hizo kuna Google Assistant, Google Maps na Facebook lakini hakuna app ya Twitter, Snapchat au WhatsApp.
 
Back
Top Bottom