mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Shithole
Shithole
Kama ni kweli hii hatari kwa afya yako
Sema tu hawawezi kuona wengineUnataka nifutwe kwenye huu uzi
Huyo Gabri ndo nani? Hebu na akafie mbali huko kha !!!Numbisaaaaaaa Mrs Gabri
Kwani lazima uwe mzalendo?
No comment...Shithole
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hapa tunajuana pole pole. Wakati mwingine ni bora kuwa kama Mzee Rutta tu: Hakuna kuzoeana na watu; japo nayo ina faida na hasara zake. Nimejifunza jambo kubwa hiyo jana....Wacha kabisa yale magazeti duh bora usuntwe kwa neno mbili kuliko gazeti lenye maukweli ndan yake
Huyo Gabri ndo nani? Hebu na akafie mbali huko kha !!!
Kuna uzi nimeuona wa RPC Arusha....Kwani lazima uwe mzalendo?
Ndo maana nikafunga PM maana ingekua wazi nisingekua na uhuru nilionao,ukiingia pm tu interview unaitwa nani,una miaka mingap,unajishughulisha na nini etc daah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hapa tunajuana pole pole. Wakati mwingine ni bora kuwa kama Mzee Rutta tu: Hakuna kuzoeana na watu; japo nayo ina faida na hasara zake. Nimejifunza jambo kubwa hiyo jana....
Utakuwa mvio wa damu ubongoni huyu. Ndiyo madhara ya Sweet Science hayo. Siyo wa kwanza na wala hatakuwa wa mwisho. RIP bondia. Ndo mchezo wangu pendwa huu...Mwanamasumbwi raia wa Uingereza, Scott Westgarth amefariki dunia akiwa hospitali baada ya kutwaa ubingwa wake dhidi ya Dec Spelman huko Doncaster.
Kwa sasa uzalendo ni pale akifa au kuumwa kiongozi wa upinzan basi onyesha majonzi makubwa mno tena kupita majonzi ya kupoteza ndugu wa damu hapo utaonekana mzalendo wa hali ya juu na likes nyingi utamwagiwa na pongezi teleKuna uzi nimeuona wa RPC Arusha....
Mpaka nafika kommenti ya 95,ni kommenti 4 tu za pole kwa ajali. Zingine zote ni za kumlaumu aidha iziraeli mtoa roho au kwanini mapenzi ya Mungu hayajatimia...
Hili neno UZALENDO silielewi maana yake kwa kiswahili cha kuanzia 2015...
Utakuwa mvio wa damu ubongoni huyu. Ndiyo madhara ya Sweet Science hayo. Siyo wa kwanza na wala hatakuwa wa mwisho. RIP bondia. Ndo mchezo wangu pendwa huu...
![]()
Tunakoelekea wala siyo kuzuri....Kuna uzi nimeuona wa RPC Arusha....
Mpaka nafika kommenti ya 95,ni kommenti 4 tu za pole kwa ajali. Zingine zote ni za kumlaumu aidha iziraeli mtoa roho au kwanini mapenzi ya Mungu hayajatimia...
Hili neno UZALENDO silielewi maana yake kwa kiswahili cha kuanzia 2015...