Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Umeona eeh. Tena ukiwa na powerbank ya kuaminika hata Tanesco wakileta ukuda unawacheka tu!No complications,hii relationship ni amaizing
Umeona eeh. Tena ukiwa na powerbank ya kuaminika hata Tanesco wakileta ukuda unawacheka tu!No complications,hii relationship ni amaizing
Mungu Anasaidia. Sema wewe.Umeamkaje mpendwa!
Ngoja tuone kufikia jioniKumbe hata wewe ushausoma mchezo? Popcorn kwangu ndo zinaumuka kwenye maikrowevu [emoji23][emoji23][emoji23]
Someone is after me...[emoji102] [emoji125] [emoji125]Mbio again? Why?
Hi ColePako powa karibu kilingeni
morning to youGoodmorning
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]No complications,hii relationship ni amaizing
Unauliza mshindani?Jana pia kuna njemba zilikuwa zinapelekeshana kwa God is Bae. We kwa Babe S huna mshindani?
Malengo ya Leo ni yapi?Salim Abdala Hussein Turkii umekufa na kizazi chako chote milele yote AMUN RA
Akifikisha 18 packs niiteHe is aiming for 12 packs [emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nikutafutie mshiiinda....ndaaaaa...niiiiiii!Unauliza mshindani?
Ee ...eee...kuuuhuuuusuuu..eeee mshiiinda..ndaa.ndaaaniiii siiidhaaani!
Sidhani
Sidhani!
kufika 60KMalengo ya Leo ni yapi?
Yaani leo mapemaaaa60k mapemaaaa kabla ya giza