Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanachubua ngozi ya mtoto akiwa tumboni ili azaliwe akiwa mweupe? Kama ni kweli basi Waafrika tuna matatizo makubwa sana !!!
 
Wanawake nchini Ghana wameonywa kutotumia dawa za kujichubua ilikubadilisha ngozi ya watoto kuwa nyeupe wakati bado wako tumboni.

Wataalam wa afya wanasema dawa hizo haramu zinapelekea madhara ya uzazi ikiwemo viungo vya ndani vya mtoto kuharibika.
Sisi watu weusi tuna matatizo. Ifike mahali tukubali tu kuwa something is not right somewhere....(Isis asiione hii comment)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…