tangazo
Inspection 1
1.License
2.Insurance
3.kwenda kwa usalama
4. Fire extinguisher
5. Triangle
Inspection 2
1. Front Lights
2. Parking Lights
3. Break Lights
Inspection 3
1. Car colour
2. Dents
3. Car seats
Inspection 4
1. Inside Bonet (kama uko natatizo ndani ya bonet yako fix now) hii ni mpya kabisa bado iko ya moto kwenye inspection mpya.
NB
Wakubwa muhakikishe batteries zenu za magari zina icho kifuniko chekundu...vinginevyo jiandae kulipa faini ya Tshs 30 wakikusimamisha wakafungua boneti na wasikikute..take care!!
Hii ni Insulator, inazuia "body" la gari kugusana na point chanya ya battery na kusababisha sparks ambazo ni chanzo cha moto....