Ndo wadada wa mjini.Huyu bidada enzi zake akiwa mahabatj moto moto na mheshimiwa alikua na dharau sana kwa mke wa jamaa,saiv kazalishwa na kutoswa full malalamiko na drama kwa mchepuko mpya.
Ndo wadada wa mjini.
Karma iko kazini saiz inafanya kazi.
Hela ya kudanga ni ya show off tu mjini.Halafu wanateseka vibaya mpaka mtu unajiuliza hela walizokua wanahongwa walizipeleka wapi
Basi wana kazi mno kudanga bila akiba hasara iliyojeHela ya kudanga ni ya show off tu mjini.