Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Hivi mwozowe inatumika hadi kwa wanawake eeh?
Ngoja tutamuuliza mzee wa liver! [emoji1]
Hivi mwozowe inatumika hadi kwa wanawake eeh?
Mzima sana tu mkuuPoa,mzima?
Yaani nashangaa kwanini watu wanamchukia Wenga,alituokoa watu na madeni bhana...Aaah mie sisahau zile mahari duh wenga jinias bana akakomboa wadaiwa wootee
Alimponyesha Uniq peke yake. Andjul alilipa mpaka akachoka. Kwa Sammy Love pimbi wa watu akachomoa kiaina...
Unene nalinkuluyo. Nigishage bukwaya nzuna wane [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ng'wagoko bhageshi
Safi kabisa,welcome kwenye uzi pendwaMzima sana tu mkuu
Si ajabu umeandika hiyo ukiwa unatetemeka kwa kuogopa kukosea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mhola doho
Uzi wa kiswahili bana aaah aah ahaaaa tutaumbuana bure hahaha
Hapo sasaYaani nashangaa kwanini watu wanamchukia Wenga,alituokoa watu na madeni bhana...
Dah! Nikiandika comment yangu si ajabu mtaishia kunilalamikia tu. Afadhali nikae kimya tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi vitu ni vitamu sana. Ukute humu wapo wanao mzidi huyu...![]()
Aliokolewa wa kusoma siyo wewe....Yaani nashangaa kwanini watu wanamchukia Wenga,alituokoa watu na madeni bhana...
HahahaaaNumbiiii[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] EnkwayaUnene nalinkuluyo. Nigishage bukwaya nzuna wane [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah! Nikiandika comment yangu si ajabu mtaishia kunilalamikia tu. Afadhali nikae kimya tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi vitu ni vitamu sana. Ukute humu wapo wanao mzidi huyu...![]()
Wabheja sana ng'wanike/nyandaSafi kabisa,welcome kwenye uzi pendwa
Dah!!..tumeanza kutiana majaribuni tena jamani[emoji12]