Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Uko makiniAlisema mwenyewe mlipokua mnaweka picha za misabwax
Uko makiniAlisema mwenyewe mlipokua mnaweka picha za misabwax
[emoji2] , hata utukanwe, likes tu mtindo mmojaHata kusoma tunasomaga basi? Hasa kwa mtu ambaye hatujamzoea? Ni likes tu na kusonga mbele....
Nimeshangaa sana mkuu. Nakuonaga hapa JF na kamwe sikudhani kuwa u binti...[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] , aisee
Hapa kutukanana ni nadra sana ila hata ikitokea ni likes tu. Upendo ni tiba tosha ya chuki na dharau.[emoji2] , hata utukanwe, likes tu mtindo mmoja
Mkuu kwema?Hapa kutukanana ni nadra sana ila hata ikitokea ni likes tu. Upendo ni tiba tosha ya chuki na dharau.
Mkuu adjul kwemaMkuu kwema?
Ok, tuendelee kudumisha upendo.Nimeshangaa sana mkuu. Nakuonaga hapa JF na kamwe sikudhani kuwa u binti...
Kwema kabisa shemeji. Habari ya asubuhi (ikiwa tu upo koromije) mkuu[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Mkuu adjul kwema