stunnacarter2015
JF-Expert Member
- Apr 7, 2017
- 463
- 1,288
baada ya bata lote la eid stress znaanza leo ukiamka una buku tu mfukoni hapo ndo utajua majuto ni mjukuu
HahahahaMtalaka katili!
[emoji102]hapana mkuu niliamka kitambo sema sikupata muda wa kuja kuwasabahi humu ndani
wamekula wawili...inasikitishaKumetokea zali tena?
Kweli kabisa ndio mimi siwezi nikajaribu kumliza the GoddesUkimliza mwanamke nawe siku moja utalia!
Aiseee well said one hundred percentAna faida zake. Anasaidia kukuimarisha na kukukomaza!
Kumetokea nini tena Kibiti? Funguka mkuutuiombee kibiti
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji102] [emoji102] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Samahani Weita ongeza glass [emoji481][emoji485]
Umeliona Hilo Godzilla Hilo [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji1]
[emoji102]Karibu hapa kijiweni tuburudike. Yule jamaa yako yule bila shaka atajitokeza hapa muda si mrefu!
Piyanka chopraAngelina jolly
Shimba buyenze tubadili formationCole Wiliam na ISIS VS Bigbaba na ISIS
Jamani malike tu, ma front page, makiki sio mengine.Mama kubwa huyu huyu au