Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

10. Sanctuary of Our Lady of Liche?, Poland

The Sanctuary of Our Lady ni kanisa kubwa kuliko yote nchini Polandna la 7 kwa ukubwa barani Ulaya .Kanisa hili lilianza kujengwa mwaka 1994 mkapa 2004.
 
Hapa nilipo...
f0b2ffc870a5c6bbe791ce8bc86c25d0.jpg
Mwakaleli ama?
 
9. Basilica of Our Lady of Peace, Ivory Coast



Kanisa la Basilica of our Lady of Peace of Yamoussoukrola nchini Ivory Coast ,ni kanisa la Roman Catholic na limetajwa kwenye kitabu cha Guinness World Records kama kanisa kubwa kuliko yote duniani. Liko kwenye eneo la 30,000 square meters (322,917 sq ft),nalinachukua idadi ya waumini 8,000 kwa wakati mmoja.Kanisa hili la Basilica lilijengwa kati ya mwaka 1985 na 1989 na lilizinduliwa mwaka 1990 na Pope John Paul II.
 
8. Basilica of the Sacred Heart, Belgium

Hili ni kanisa la nchini Beligium linaloitwa National Basilica of the Sacred Heart likiwa ni kanisa la Roman Catholiclikiwa kwenye Parish inayoitwa Brussels, Belgium. Mfalme King Leopold II aliweka
 
8. Basilica of the Sacred Heart, Belgium

Hili ni kanisa la nchini Beligium linaloitwa National Basilica of the Sacred Heart likiwa ni kanisa la Roman Catholiclikiwa kwenye Parish inayoitwa Brussels, Belgium. Mfalme King Leopold II aliweka
 
8. Basilica of the Sacred Heart, Belgium

Hili ni kanisa la nchini Beligium linaloitwa National Basilica of the Sacred Heart likiwa ni kanisa la Roman Catholiclikiwa kwenye Parish inayoitwa Brussels, Belgium. Mfalme King Leopold II aliweka
 
7. Milan Cathedral, Italy

Milan Cathedral (Duomo di Milano) nalo linasemekana ni kanisa kubwa kuliko yote duniani.Kanisa hili lilianza kujengwa mwaka 1386 na kumalizika 1965. Lina uwezo wa kuchukua waumini 40,000 people. Ni mojawapo ya kanisa kubwa la Gothic cathedral duniani na mojawapo ya kanisa maarufu barani Ulaya.
 
6. Church of the Most Holy Trinity, Portugal

Kanisa la Church of the Most Holy Trinity ni la nne kwa ukubwa kwa makanisa ya Katoliki na la sita kwa makanisa ya Kikristo duniani. Kanisa hili lilijengwa kati ya mwaka 2004 mpaka 2007 na likazinduliwa rasmi October 12, 2007. Lina uwezo wa kuchukua waumini 9,000 kwa wakati.
 
5. Liverpool Cathedral, United Kingdom

Kanisa la Cathedral Church of Christ la Liverpool, England ni la tano kwa ukubwa duniani.Kanisa hili liko kwenye eneo la 103,334 square feet (9600 square meters) na eneo kubwa la kanisa hili limejengwa kwa mawe. Kengele ya kanisa hili ni kubwa kuliko zote duniani na imepewa jina Barttlett Bells.
 
4. Cathedral of Saint John the Divine, United States


Kanisa la Cathedral Church of Saint John the Divine lililoko kwenye mji wa New Yorklinasemekana ndilo kuba kuliko yote kwa makanisa ya Anglikan na la nne kwa ukubwa kwa makanisa ya Kikristo duniani. .
 
3. Cathedral of Seville, Spain

Kanisa hili pia linajulikana kama Catedral de Santa Maria de la Sede (Cathedral of Saint Mary of the See), Kanisa hili lilianza ujenzi wake mwaka 1402 na kuendelea mkapa kwenye karne ya 16.Liko kwenye eneo la sq m.11,520
 
2. Basilica of the National Shrine of Our Lady of Aparecida, Brazil

Kanisa hili la The new Basilica of the National Shrine of Our Lady of Aparecida lilijengwa mwaka 1955 lina uwezo wa kuchukua waumini 45,000 . Pope John Paul aliliita kanisa hili kama kanisa maalum nchini Brazil.
 
1. St. Peter’s Basilica, Vatican City

Hili ni kanisa kubwa kuwahi kuwepo duniani.Liko nchini Italy kwenye mji wa Roma.Lina uwezo wa kuchukua waumini mpaka 60,000. Kanisa hili la Basilica lilianza kujengwa mwaka 1506 mkapa 1626 na Michelangelo mmojawapo wa wasanifu wakubwa wakati huo wa majengo.
 
Back
Top Bottom