ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
Inasikitisha jamanindio yeye..alilewa yakamkuta kama ya Whitney Houston. hayo mengine wanaficha
Inasikitisha jamanindio yeye..alilewa yakamkuta kama ya Whitney Houston. hayo mengine wanaficha
Teh teh
Amekufa maji kwenye bathtub...likely alikuwa njwii. Tayari TMZ wanasema alichanganya pombe na madawa (hawajasema kama ni ngada au ma pain killers). Heart attack haihusiki. Official cause of death according to Dubai police: Drowning in a bathtub after losing consciousness.Huyu si ndiye aliyefariki juzi kwa heart attack?
Kaptula hiyo
BAK wadada wako wazurije
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Zikifika zimefika. Binadamu hatuna ujanja [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Miaka 54 RIP mrembo wa Bollywood.
Wanajisahau jomoniAmekufa maji kwenye bathtub...likely alikuwa njwii. Tayari TMZ wanasema alichanganya pombe na madawa (hawajasema kama ni ngada au ma pain killers). Heart attack haihusiki. Official cause of death according to Dubai police: Drowning in a bathtub after losing consciousness.
TrueZikifika zimefika. Binadamu hatuna ujanja [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kaptula hiyo
Hahahaha hao wamenizidi bwanahahahahahahaha lol! Kama Clkey....ila kuna warembo aisee na instagram ndiyo imewafukunyua mafichoni na wengine inawasaidia sana maana wanapiga pesa ndefu ile mbaya na kubadili kabisa maisha yao.
Ukwajuuuuu
sridev -r.i.pMiaka 54 RIP mrembo wa Bollywood.
Wamisha mhola!![emoji15][emoji15][emoji15]... Aleyoo, makoye ga mbiti lolo! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550]
ahahahahhahahaNumbisa alikaambia kakienda kulala kamuote amekuwa jimama, na kenyewe kanaogopa majimama. Naona kaliogopa kwenda kulala ili kasipate naitimeazi...Si ajabu kamekesha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shemeji yangu yalimkuta, lakini yeye alilala kwenye sofa huku anaangalia bahari!Zikifika zimefika. Binadamu hatuna ujanja [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
sawa..Amekufa maji kwenye bathtub...likely alikuwa njwii. Tayari TMZ wanasema alichanganya pombe na madawa (hawajasema kama ni ngada au ma pain killers). Heart attack haihusiki. Official cause of death according to Dubai police: Drowning in a bathtub after losing consciousness.