Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahah hausahau tu neema za mahali
 
Hahahahah hausahau tu neema za mahali
Nasubirisha kwako ila unazingua balaa. KaYego haka ningekagonga hata ng'ombe hamsini na tumamba kadhaa. Kijana mpole/mkali yeye hata ng'ombe mia anatoa tu na viparaboz juu. Ila sasa ndo hivyo "sis" mwenyewe ngangariiiiiii...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…