Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hali ya hewa shawishi lakini Waziri Mkuu kafunga mlango ngwe. Bro, umejaribu kubisha ili ufunguliwe...Bro we acha Tu yaani na Hali ya hewa hii mtu bado kafunga kwa "Prime Minister " huku so kurushana stimu huku
"Ombeni nanyi mtapewa...Bisheni nanyi mtafunguliwa..."...Imeandikwa bro...