BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Nilisoma mahali mtandaoni huyu jamaa alikuja juu sana mrembo alipomfahamisha kwamba ni mja mwepesi na kutaka akatoe mimba mrembo akagoma. Sasa wamekuwa buddy buddy na mwanae. Sina uhakika na ukweli wa habari husika.