T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,118
- 30,551
V8Karibu![]()
V8Karibu![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] "kumbe anatoa maji ya mvua andani". ..Watu wako kimya humu badae utasikia ooh mvua nilikua na shemeji yenu
Kumbe anatoa maji ya mvua ndani
Hahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] "kumbe anatoa maji ya mvua andani". ..
Hivi haka kamchezo ni kazuri sana kipindi cha mvua eee?!!!!!
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] Aiwishi na mimi ningempata wa " kutoa maji ya mvua ndani" hasa kipindi hiki tata...
Aisee hii hali itakuwa imevamia Bongo nzima nini? Jiji la Makonda halieleweki leo.Hahahaha
Sina maana hiyoooo in JK voice
Goodnight andjul
Huku kuna hali ya kuwashawishi shimba na jakitoo kutuletea kilimo cha mapacha.
Hahahaha
Sina maana hiyoooo in JK voice
Goodnight andjul
Huku kuna hali ya kuwashawishi shimba na jakitoo kutuletea kilimo cha mapacha.
Inawezekana ikawa kweli[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Muone !!! Valentine wiki nzima umefichwa visiwani si ajabu mapacha waliopandwa wapo wanamea sasa hivi. Novemba mavuno !!!
Abhana bha mbasaMuone !!! Valentine wiki nzima umefichwa visiwani si ajabu mapacha waliopandwa wapo wanamea sasa hivi. Novemba mavuno !!!
Baby twinsAbhana bha mbasa
![]()
[emoji2] [emoji2] [emoji2] , ndo kwanza zimeanza.Watu wako kimya humu badae utasikia ooh mvua nilikua na shemeji yenu
Kumbe anatoa maji ya mvua ndani