ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
TrueKweli age is nothing but a number
TrueKweli age is nothing but a number
AMUN RAView attachment 703967 Nawapenda wanalikes
Usiku mwema na Maulana Mola wetu azidi kutubariki maishani mwetu tusipatwe na mabaya!
Remain blessed my friends!
HahahahahaMzee wa liver unashangiliaga misambwanda hapa Leo unataka mzungu achomwe daah
Mwambie baba jeska
Marais wa Kenya wote picha moja
Mmmmh kirahisi rahisi hivyoUnaweza kuperfom tu kuna kitu kinaitwa Stop Loss na Take Profit unajaza figure zako unasubiri madolari tu
HahahahahaMzee wa hata 10 daaah si mchezo
We una kumi hata 5 nn
Wapi Bob 12
Mhhhhh wazaramo habari nyingineMimi npo dar huku wazaramo wanahangaika weeeeeee ila wanaangukia pua
Hahahahaha kupeana likes mkuuUzi maalumu wa KUPEANA LAKINI CHA AJABU NISHAFUNGIWA MILANGO SANA SIJUI TUNAPEANA NINI NAWAZA TU [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Kazi ngumu sanaIts look like lakini sio kubet
Kubet unabashiri matokeo
Forex unaingia deep zaidi kujua uchumi wa dunia unakwendaje sio kukurupuka tu yaani muda mwingi kama upo shule tu kusoma muda wote kusikiliza habari za uchumi za dunia kila baada ya saa ukibugi umekwisha
Good night my dearAsante sana!
Hiyo SP na TP lazima ujue soko likoje sio unajaza figure tu issue nzima ya Forex unatakiwa uwe genius kwa kweliMmmmh kirahisi rahisi hivyo