Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa watoto.

Kama mama mjamzito hatapata chanjo ya tetenasi , au kujifungulia nyumbani, yupo kwenye hatari ya kumsababishia mtoto mchanga kupata tetenasi.
 
Dalili za Tetenasi.

Kukakamaa kwa misuli, mdomo kushindwa kufunguka(lock-jaw) Kutokwa na jasho jingi, homa kali Kushindwa kumeza kwasababu ya kukakamaa kwa misuli. Kutokwa na udenda(drooling). Kupata matatizo ya kupumua.
 
Kinga.

Tafadhali nenda hospitalini au kituo cha afya mara baada ya kupata jeraha lolote ili kupata chanjo ya tetenasi.

Kwa wafanyakazi wa afya, ni muhimu kupata chanjo ya tetenasi kwasababu ya mazingira hatarishi ya kazi.

Kwa mama mjamzito tafadhali hakikisha unapata chanjo zote za tetenasi ili kujikinga na pia kumkinga mtoto. Pia unapoona dalili za uchungu hakikisha unawahi ukajifungulie kituo cha afya mapema.

Epuka majeraha yasiyokua ya lazima, vaa viatu, weka vitu vyenye ncha kali mbali na watoto.

Mpeleke mtoto atahiriwe hospitalini na sio kwa mtaani, kwasababu ya hatari kubwa iliyopo ya kupata tetenasi.
 
Tarehe 1 desemba kila mwaka, ni siku ya ukimwi duniani.Ukimwi na magonjwa mengine makubwa yamepewa siku rasmi kila mwaka ili kuikumbusha jamii juu ya mapambano dhidi ya magonjwa hayo. Katika siku hizo pia hutolewa matokeo ya tafiti mbalimbali zinazohusu magonjwa husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…