myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Likes za usiku
Umekumbuka?
HahahaahahaahaJamani msinikumbushe madhila niliyopitia. Kumbe kuwa huru hivi kuna raha sana. Ngoja nije nikukorofishe mpaka uniweke kwenye ignore list halafu tena naanza kupambana ili unitoe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Goodnyt unalala saa hiiView attachment 703967 Nawapenda wanalikes
Usiku mwema na Maulana Mola wetu azidi kutubariki maishani mwetu tusipatwe na mabaya!
Remain blessed my friends!
Amani kweli!!!
Kassimu Majaliwa umefungiwa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Komaa hadi ufunguliwe
Mwanaume kupambana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]