Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na Kama ukinipenda sana (nitaringa nitaringa na wewe nitaringa)
Nitaringa nitaringa na wewe nitaringa
Nitaringa nawee (nitaringa nitaringa na wewe nitaringa)
Nitaringa na wewe
Nitaringa Baby Ooh (nitaringa nitaringa na wewe nitaringa)
Nitariiiih! (nitaringa nitaringa na wewe nitaringa)
Nitariiiih! (nitaringa nitaringa na wewe nitaringa)
Nitaringa nawee (nitaringa nitaringa na wewe nitaringa)
 
FBF[emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji445][emoji445][emoji445]

When the night has come
And the land is dark
And the moon is the only light we'll see
No, I won't be afraid
Oh, I won't be afraid
Just as long as you stand
Stand by me

So darlin', darlin'
Stand by me, oh, stand by me
Oh, stand, stand by me
Stand by me

If the sky that we look upon
Should tumble and fall
Or the mountain should crumble to the sea
I won't cry, I won't cry
No, I won't shed a tear
Just as long as you stand
Stand by me

And darlin', darlin'
Stand by me, oh, stand by me
Oh, stand now, stand by me
Stand by me

Darlin', darlin'
Stand by me, oh, stand by me
Oh, stand now, stand by me
Stand by me
Whenever you're in trouble, won't you stand by me?
Oh, stand by me
Won't you stand now?
Oh, stand, stand by me
 
Jakitoo. Leo sijakusikia bebi. Hujambo?
7539114f5240d9203f3cf882fc798175.jpg
Yuko huku anapambana na andaeitini wenzie
 
Jamani jamaniii[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]

Ila vya ukweli ukweli nimechangia kiasi fulani kumuathiri kijana wangu..
Kijana wangu mwenye kushika dini na mpole...

Eee muache bhana,misambwanda inakufanya ujisikie fresh,mchana kutwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Jamaniiiiii !!!
 
Me niliususa ule uzi maana niliona hamba kitu.
Ila leo Mzee baba leo kaamua kuvunja ukimya.


Jiripue tu shem lake[emoji23][emoji23][emoji23]kwani waogopa nini bhana
Ukishindwa kuandika siredi andika hata hii[emoji116][emoji116][emoji116]kihenga zaidi

Hiyo sired usisahau nitag sipendi pitwa na ubuyu

Next ubuyu nakutag[emoji125] [emoji125]
7db62506c652074e681b626a66d2c998.jpg
Kujiripua kunataka moyo aisee. Umeona hata Shunie imebidi tu awe mpole kwa sababu hakuna namna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kijana ambae alikua anakosoa balaa kila daile yupo anachekelea kwenye ignore list za isis haahahhaah
Jamani msinikumbushe madhila niliyopitia. Kumbe kuwa huru hivi kuna raha sana. Ngoja nije nikukorofishe mpaka uniweke kwenye ignore list halafu tena naanza kupambana ili unitoe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom