Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahah
Masihi wao hakusema ukweli. Alivyoielezea unaweza kufikiri hela zipo nje nje kumbe inahitaji weledi mkubwa wa kuelewa mambo mengi kwa pamoja na kuyasynthesize halafu usome usome sana kila wakati huku ukiwa attentive 24/7. Na mwanzoni pale ni lazima utapoteza tu. Wengi naona wamejaribu wakapigwa sasa wanarudi kumuita masihi tapeli. Always za kuambiwa ......
Hahahah eti masihi jaman forex imedondosha miamba JF,watu walikua wanapiga pesa za maana hadi watsup ila sasa upepo wa forex umeharibu kiiilaaa kituuu.
 
Hahah

Hahahah eti masihi jaman forex imedondosha miamba JF,watu walikua wanapiga pesa za maana hadi watsup ila sasa upepo wa forex umeharibu kiiilaaa kituuu.
Ila ukiimudu na ukawa na mtaji wa kueleweka kama akina Mzee wa Ini ni biashara nzuri sana. Mwanzoni pale tumia pesa ambazo huzihitaji kwa lolote vinginevyo utajuta !!!
 
df50d9a3da74ae0bd29a0b9c6a399ab3.jpg
 
Yap. Laptop, simu, tablet, TV...everything.... Ukikosea kidogo ukajisahau unaweza kuta akaunti iliyokuwa na dola hata 5,000 au 10, 000 inasoma zero.....

Inabidi ukae chonjo. Ni lazima ufuatilie habari zote za kimataifa zinazoweza kuathiri masoko ya pesa duniani. Ni lazima ujue Trump ka-tweet nini, kiduku wa North Korea kachimba mkwara gani, Brexit kule inaendeleaje, Japan imepigwa na tetemeko ama la, OPEC wanasemaje kuhusu bei ya mafuta na uzalishaji wake, Masoko ya fedha kule Marekani, China, UK na Japan yana mwelekeo gani na kama yanatabirika...Ni lazima ujue msimamo wa sarafu kubwa kubwa zote duniani.....Ni kazi ngumu na kamwe siyo rahisi kama masihi wao alivyoiweka humu.....[/QUOT

Hahahah..! Too much Mkuu..!!
 
Back
Top Bottom