myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
poleni wakusoma
Duh sasa wenye ajira rasmi wanachezaje kama muda wote ni kushinda unakodolea macho vifaa vya electronic na wao ajira si zitaota nyasiYap. Laptop, simu, tablet, TV...everything.... Ukikosea kidogo ukajisahau unaweza kuta akaunti iliyokuwa na dola hata 5,000 au 10, 000 inasoma zero.....
Inabidi ukae chonjo. Ni lazima ufuatilie habari zote za kimataifa zinazoweza kuathiri masoko ya pesa duniani. Ni lazima ujue Trump ka-tweet nini, kiduku wa North Korea kachimba mkwara gani, Brexit kule inaendeleaje, Japan imepigwa na tetemeko ama la, OPEC wanasemaje kuhusu bei ya mafuta na uzalishaji wake, Masoko ya fedha kule Marekani, China, UK na Japan yana mwelekeo gani na kama yanatabirika...Ni lazima ujue msimamo wa sarafu kubwa kubwa zote duniani.....Ni kazi ngumu na kamwe siyo rahisi kama masihi wao alivyoiweka humu.....
Nasubiria kwa hamu ukijilipua weuweeee itakua motoooKumbe ni Shunie? Watu walisubiri sana ha ha haaa. Halafu nawe. Ubuyu kama huu unaachaje kunitag? Ubuyu kama huu ukisoma lazima utabasamu, na kutabasamu daima ni jambo jema...
Shunie mwenyewe huwa anajivunia Baba D wake na kijana wao. Sasa mzee Gent kaamua kujiripua. Na ukorofi wake ule sipati picha. JF raha sana jamani !!!
(Sijui nami nikajiripue kwenye sredi?)
Sina huo ubavu. Yataka moyo ati !!!Nasubiria kwa hamu ukijilipua weuweeee itakua motooo