Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

8cd43c326dbcd71b39893dda699019fb.jpg
 
Nani anacheza? Huwezi kuangalia VPL huku unakula likes na kuangalia hayo magrafu ya Forex at the same time? Au sis anakuhitaji bedroom unasingizia VPL? [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
Duh ina maana forex muda wote laptop inatakiwa kuwa on unaishangaa tu aiseee
 
Kumbe ni Shunie? Watu walisubiri sana ha ha haaa. Halafu nawe. Ubuyu kama huu unaachaje kunitag? Ubuyu kama huu ukisoma lazima utabasamu, na kutabasamu daima ni jambo jema...

Shunie mwenyewe huwa anajivunia Baba D wake na kijana wao. Sasa mzee Gent kaamua kujiripua. Na ukorofi wake ule sipati picha. JF raha sana jamani !!!

(Sijui nami nikajiripue kwenye sredi?)
 
Duh ina maana forex muda wote laptop inatakiwa kuwa on unaishangaa tu aiseee
Yap. Laptop, simu, tablet, TV...everything.... Ukikosea kidogo ukajisahau unaweza kuta akaunti iliyokuwa na dola hata 5,000 au 10, 000 inasoma zero.....

Inabidi ukae chonjo. Ni lazima ufuatilie habari zote za kimataifa zinazoweza kuathiri masoko ya pesa duniani. Ni lazima ujue Trump ka-tweet nini, kiduku wa North Korea kachimba mkwara gani, Brexit kule inaendeleaje, Japan imepigwa na tetemeko ama la, OPEC wanasemaje kuhusu bei ya mafuta na uzalishaji wake, Masoko ya fedha kule Marekani, China, UK na Japan yana mwelekeo gani na kama yanatabirika...Ni lazima ujue msimamo wa sarafu kubwa kubwa zote duniani.....Ni kazi ngumu na kamwe siyo rahisi kama masihi wao alivyoiweka humu.....
 
Back
Top Bottom