Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Moyo unaona banaSina huo ubavu. Yataka moyo ati !!!
Moyo unaona banaSina huo ubavu. Yataka moyo ati !!!
Moyo unaona banaSina huo ubavu. Yataka moyo ati !!!
Kuna watu wanaofanya kazi huko maofisini kweli? Watu si wanakuwa IG, FB, JF na kwingineko hata kama wako kazini? Si afadhali angalau hawa wanaopiga hela badala ya ubuyu?Duh sasa wenye ajira rasmi wanachezaje kama muda wote ni kushinda unakodolea macho vifaa vya electronic na wao ajira si zitaota nyasi
Binadamu ndiyo hawezi kabisa!Stupid Homo Sapiens. Kasayari kenyewe haka haka kamoja na hakuna pa kukimbilia. Kama ambavyo Stephen Hawking amekuwa akionya mara kwa mara, dunia hii haitaangamizwa na kimwondo wala hatari nyingine bali itaangamizwa na binadamu mwenyewe. Sad....
![]()
IndeedMungu atupe afya njema
Truetuwasaidie wanaohitaji msaada
Kwa kwelituwe na amani na upendo
Mmmh pesa za presha hapana sema kweli bora umnea huku ukiwa na ajira yoyote,forex naiona kama ku bet tu hasa kwa wasiofahamu kitu ndo kabisaa kila siku malalamiko ya kuliwa pesaKuna watu wanaofanya kazi huko maofisini kweli? Watu si wanakuwa IG, FB, JF na kwingineko hata kama wako kazini? Si afadhali angalau hawa wanaopiga hela badala ya ubuyu?
Masihi wao hakusema ukweli. Alivyoielezea unaweza kufikiri hela zipo nje nje kumbe inahitaji weledi mkubwa wa kuelewa mambo mengi kwa pamoja na kuyasynthesize halafu usome usome sana kila wakati huku ukiwa attentive 24/7. Na mwanzoni pale ni lazima utapoteza tu. Wengi naona wamejaribu wakapigwa sasa wanarudi kumuita masihi tapeli. Always za kuambiwa ......Mmmh pesa za presha hapana sema kweli bora umnea huku ukiwa na ajira yoyote,forex naiona kama ku bet tu hasa kwa wasiofahamu kitu ndo kabisaa kila siku malalamiko ya kuliwa pesa
Wanagegedanaje?
Shoooooooooooonzaaaaaaaaaa !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].