Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyu andjul sio kabisa zaman shimba alikua na mawazo mengine kabisaaaa ila siku hizi uwiiiii hahahahaha
Mimi[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] !!!
Ameiga ujasiri wako,alisema mwenyewe kuwa wewe ndiye rolo modo wake kwa ujasiri.
Wacha yamtoke yale ambayo yanafaa kutoka lakini hayawakwazi watu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Shimbaaaaaaaa.....
 
Jakitoo. Leo sijakusikia bebi. Hujambo?
7539114f5240d9203f3cf882fc798175.jpg
Sijambo darling, Habari yako?
 
NILIFANYA SHEREHE MKE WANGU ALIPOFUKUZWA KAZI - MKASA

Huyu mke nilimuoa akiwa hana kitu, kwa bahati alitafutiwa kazi na ndugu yake kwenye kampuni moja ya simu akawa analipwa kama milioni 3 kwa mwezi fasheni na yeye yeye na fasheni vipodozi kila aina,handbag na nywele za laki mbili ndio mshahara wake ukawa unaishia huko mimi mshahara wangu hauzidi laki sita,nilifanyishwa vituko vyote ndani ya nyumba ,manyanyaso yote ,hapiki hafui,hafanyi chochote ndoa ikawa inaelekea kuvunjika.
 
Nikaenda mahakamani kuprocess talaka wakasema mpaka nianzie baraza la usuluhishi la kata au kanisani,nikaamua kwenda kanisa tulilofungia ndoa tukaitwa kwa Baba Paroko for hearing sijui mediation sijui arbitration sijui mie nikatinga kwa bajaj ya kukodi nimepaukaaa yeye akaja na RAV4 .
 
Back
Top Bottom