Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hali mbaya ya hewa imeendelea kuleta taharuki katika eneo kubwa la Bara la Ulaya, ambapo watu kadhaa kufa na mamia ya nyumba kukosa umeme kufuatia hali mbaya ya baridi iliyofikia nyuzi joto ya chini ya sifuri.
 
Nchini Ireland usafiri wa aina mbalimbali pamoja na ule wa ndege umeahirishwa kufuatia upepo mkali uliosababishwa na dhoruba kali iliyoziacha nyuma takribani 24,000 na maeneo ya biashara kukosa umeme wakati nchini Uingereza maelfu wakikumbwa na giza.
 
Akizungumza na MCL Digital leo Machi 2, 2018, Uwezo Edward ambaye ni binamu wa Baraka anayeishi Afrika Kusini amesema hana uhakika iwapo ndugu yake alikuwa na adui au ugomvi na mtu, lakini mazingira ya kifo chake yana utata, pia wanatagema kuuaga mwili wa kijana huyo siku ya Jumanne ijayo nchini humo kabla ya kuanza safari ya kuuleta mwili nchini.
 
Alhamisi ya wiki ijayo tutausafirisha mwili wa mpendwa wetu kuelekea mkoani Kigoma kwa ajili ya kuupumzisha kwenye makazi ya milele,” amesema Edward.
Kwa upande wa Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Dk Augustine Mahiga amesema bado ofisi yake haijapata taarifa yoyote kuhusiana na suala hilo.
 
Back
Top Bottom