Ulienda wapi mm nachat peke yanguTeh...haya bhana
Nilikuwa narinda ndao yangu mkuu...[emoji125]Ulienda wapi mm nachat peke yangu
Isis sijui ni ke au me jaman nampenda na yeye ila najua ni ke atakuwa dada angu tuAwesome love u too
Napenda sana couple za hivi huwa zinadumu sanaaaaa
Wengine huko walipo ni mchana wa jua kaliWatu wamekimbia ni muda wa kulala
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ni kweli unafanana nae
Ni KE wa nguvu very beautiful kwa kweli(mzee wa liver ndio anatuambiaga hivyo)Isis sijui ni ke au me jaman nampenda na yeye ila najua ni ke atakuwa dada angu tu
Hahahaha[emoji1] [emoji1] [emoji1] ni kweli unafanana nae
NumbisaHahahaha
Oky mkuuuu pamoja sanaaaNilikuwa narinda ndao yangu mkuu...[emoji125]
Ni kweli mama umekosa makeup tu
Kweli kabisa yawezekana majukum nje ya jfWengine huko walipo ni mchana wa jua kali
Waooooh jaman wacha nimpe upendo kwa like zakeeee za kutoshaNi KE wa nguvu very beautiful kwa kweli(mzee wa liver ndio anatuambiaga hivyo)
Wengine huko walipo ni mchana wa jua kali