Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Acha tu nicheke[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mwingine anasema et picha zinamsababishia ajikojolee sijui,jf kazi sana..


Mzima wewe?
Hata mimi nimeshia kucheka tu. Mbaya zaidi kila nikifungua gupicha hugo na mama yako yupo pembeni...yaani ni kazi ya kuingia na kutoka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Si wajua hapa kati uhamisho ulisitishwa?
Ikabidi nikomae na nitafute plan B.

Ila nitakuha kwakweli,huku mambo ya hovyo ni mengi mnoo[emoji57][emoji57]
Nayajua mazingira ya huko tangu miaka ya 90. Uswahili mwingi kuliko kawaida...
Ila mashamba yapo ya kutosha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nayajua mazingira ya huko tangu miaka ya 90. Uswahili mwingi kuliko kawaida...
Ila mashamba yapo ya kutosha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wenyeji wenyewe hawafanyi kazi unafikiri uswahili utaisha?
Sema sasahivi kuna mchanganyiko wa watu nahisi hali itakuwa tofauti wa nyakati hizo za90.

Sema daah!huku kwataka moyo aiseh!

Mashamba yenyewe mvua ikiwa nyingi utasikia mafuriko,hovyoo kabisa[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…