Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

7C424041-0B3A-4111-A513-0B37B27C76A1.jpeg
 
Mzuri sana huyu!
Kumbuka Nabii Musa alimpandisha Nyoka wa Shaba kule Nyikani na kila aliyemwangalia alipona!
Nyoka ni dawa ya kila kitu!
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana kwakweli.

Last year nilipata shuhudia kama watu wawili hivi walioumwa na nyoka wakaishia kukatwa miguu,so sad.
Nawaogopa haswaa na bahati mbaya huku niliko wapo,aaagrrr[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Back
Top Bottom