Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hizi picha tumeshaelewana hakuna kuziquote mchana. Halafu ukimquote mtu mpe likes
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mnao quote picha za usiku mnaboaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23]
Acheni ushamba
[emoji23][emoji23][emoji23]
YAP WAZO ZURI MAANA HATA KUFUNGUA UZI UKIWA NA WATU NI TABU MTU BORA AANGALIE KAMA AMEIPENDA AIPAKUE
[emoji23][emoji23][emoji23]
Well said
Afu ya jana usiku yalikuwa ni balaa walahi!
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanyama wengine wanaopatikana ndani ya hifadhi hii ni pamoja na simba, chui, nyati na tembo.

"African violet" ni ua ambalo linapatikana ndani ya hifadhi hii katikati ya miti mirefu inayofikia mita 30.

Pia Mto Sanje ni kivutio kikubwa sana. Mto huu una maporomoko ya maji yenye urefu wa mita zipatazo 170 yakianguka kupitia msituni na kututa mithili ya mianzo ya ukungu bondeni.
 
8CD661BC-5EB0-4688-81E2-3040213234F4.jpeg
 
Back
Top Bottom