Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kaka yego gudnite. Uniote nimekua dada ako. Wachasuguuuu,wachamawe
Babyyy, Uneniliza ujue[emoji24]
Ninetoka sahv kanisani kipenzi Nimekuombea uwe na Furaha na Amani sikuzote. Nakupenda sana Shimba

Kalale sasa SYB, Lala salama babe Malaika wa Mungu wakulinde[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Jakitoo Baby...
Nimekusubiri sana uje uniage...
Lakini hujatokea...
Pengine upo kanisani...
Sali salama...

Hebu Mola na Akushike mkono leo na siku zote
Dumisha upole, wema na uchapakazi wako...
Endelea kuwa mvumilivu usiyechoka.
Tuvumilie hata sisi tusiokustahili...
Umo katika safari ya thamani sana...
Na siku moja utaona matunda yake...
==> Ukomavu wa fikra na utayarifu wa kuyakabili maisha katika upana wake...
Mungu hatakuacha kamwe...

Ubarikiwe tena na tena...
Aaaaameni !!!
​
Amen[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Ni upendo wa nafsini huo...

Mungu aendelee kutuunganisha tukamshinde shetani atusababishiae utengano baina yetu.
Sisi ni wa thamani tukiwa wamoja[emoji120] [emoji120]
 
Wait......loading....
Yessssss!!!
fdd8a5107de7300a14a812e749f684e3.gif
 
Onyo hilo limetolewa leo mjini Dodoma na mwenyekiti wa jumuiya hiyo, George Mnali alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari wakati wa kikao na kamati tendaji ya Tahliso kwa ajili ya kujadili changamoto zinazowakabili wanafunzi wa vyuo vikuu nchini.
 
Vipo vikundi vingi vimejitokeza na kutoa matamko mbalimbali baada ya kifo hiki cha Mwanafunzi mwenzetu Akwilina Akwilini kutokea, vikundi vingine vikaenda mbali zaidi kwa kuwataka baadhi ya watendaji wa serikali akiwemo Waziri wa Mambo ya Ndani Kujiuzulu jambo ambalo linaashiria vikundi hivyo kutumika kisiasa,”amesema
 
Back
Top Bottom