Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kaka yego gudnite. Uniote nimekua dada ako. Wachasuguuuu,wachamawe
 
Amen[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Ni upendo wa nafsini huo...

Mungu aendelee kutuunganisha tukamshinde shetani atusababishiae utengano baina yetu.
Sisi ni wa thamani tukiwa wamoja[emoji120] [emoji120]
 
Bila shaka umewahinkusikia mtu akisema, wach nicheke niongoze siku za kuishi. Kama umewahi kusikia nataka nikuongezee kitu ya kwamba wataalam wa saikolojia wanasema kuwa kucheka au kufurahi ni moja ya tiba kwa afya ambayo huifanya miili yetu kubaki na afya bora zaidi.
 
Onyo hilo limetolewa leo mjini Dodoma na mwenyekiti wa jumuiya hiyo, George Mnali alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari wakati wa kikao na kamati tendaji ya Tahliso kwa ajili ya kujadili changamoto zinazowakabili wanafunzi wa vyuo vikuu nchini.
 
Vipo vikundi vingi vimejitokeza na kutoa matamko mbalimbali baada ya kifo hiki cha Mwanafunzi mwenzetu Akwilina Akwilini kutokea, vikundi vingine vikaenda mbali zaidi kwa kuwataka baadhi ya watendaji wa serikali akiwemo Waziri wa Mambo ya Ndani Kujiuzulu jambo ambalo linaashiria vikundi hivyo kutumika kisiasa,”amesema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…