Kwa kweli
Asante sana na iwe hivyo milele!Amun Ra
Maombi ni muhimu sana kwa mizimu na Mwenye Enzi Mkuu Mungu
Nakuombea baraka na Neema tele kwenye Kazi za mikono yako
Mizimu? Hiyo ya Egypt au hata ya ukoo?Amun Ra
Maombi ni muhimu sana kwa mizimu na Mwenye Enzi Mkuu Mungu
Nakuombea baraka na Neema tele kwenye Kazi za mikono yako
Unamtunza halafu mashine anaipata kwingine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]