Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Awesome

Kuna uzi huwa natoa updates za tamthilia ya itv sasa kuna watu kumbe nilikua nawakera,wengine wanafurahi basi tafran tupu hasa nikitoka nje ya huo uzi kukoment pengine unakuta mtu ananiquote eti kule isidingo nakuonaga una akili kumbe huku mtupu,mwingine nenda kadanganye wajinga wenzio kule. Aaah nikaona hapa mazoea yatazidi nikaanza kujifunza kujitoa akili mdogo mdogo mbona walishika adabu maana saiv nipo huru kukoment popote na chochote nitakacho bila masimango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…