Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

cb63c34ba582b02ba332a84c6b375309.jpg

[emoji3][emoji3][emoji3]mzee wa liver pokea zawad hiyo
Asante dah Nina muda sijapewa zawadi [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Awesome

Kuna uzi huwa natoa updates za tamthilia ya itv sasa kuna watu kumbe nilikua nawakera,wengine wanafurahi basi tafran tupu hasa nikitoka nje ya huo uzi kukoment pengine unakuta mtu ananiquote eti kule isidingo nakuonaga una akili kumbe huku mtupu,mwingine nenda kadanganye wajinga wenzio kule. Aaah nikaona hapa mazoea yatazidi nikaanza kujifunza kujitoa akili mdogo mdogo mbona walishika adabu maana saiv nipo huru kukoment popote na chochote nitakacho bila masimango
Haiwezekani kumfurahisha kila mtu. Ndiyo maana ni muhimu sana kuwa na msimamo. Siyo vibaya kusikiliza maoni ya wengine lakini siyo kwa lengo la kuwafurahisha wao na kulisha ego zao. Masikilizano yanapaswa kutokana na heshima na maelewano. Asante sana !!!
 
Back
Top Bottom