mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hii jamaa nikiboka aisee,hapo mzee wa liver ndo mahali pakoHahahahaha Mo salah hii habari ingine
Muvi tena?Hell in a cell tafuta movie hii angalia
Ubuyuuuuuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh la ukweli
HahahahahaAwesome
Kuna uzi huwa natoa updates za tamthilia ya itv sasa kuna watu kumbe nilikua nawakera,wengine wanafurahi basi tafran tupu hasa nikitoka nje ya huo uzi kukoment pengine unakuta mtu ananiquote eti kule isidingo nakuonaga una akili kumbe huku mtupu,mwingine nenda kadanganye wajinga wenzio kule. Aaah nikaona hapa mazoea yatazidi nikaanza kujifunza kujitoa akili mdogo mdogo mbona walishika adabu maana saiv nipo huru kukoment popote na chochote nitakacho bila masimango
Hii ni moja kwa moja mpaka kwenye home screen
Unawapa makavu live tu ban kitu ganiAwesome
Kuna uzi huwa natoa updates za tamthilia ya itv sasa kuna watu kumbe nilikua nawakera,wengine wanafurahi basi tafran tupu hasa nikitoka nje ya huo uzi kukoment pengine unakuta mtu ananiquote eti kule isidingo nakuonaga una akili kumbe huku mtupu,mwingine nenda kadanganye wajinga wenzio kule. Aaah nikaona hapa mazoea yatazidi nikaanza kujifunza kujitoa akili mdogo mdogo mbona walishika adabu maana saiv nipo huru kukoment popote na chochote nitakacho bila masimango
Pamoja sana mkuu jamaa anajua kweliHii jamaa nikiboka aisee,hapo mzee wa liver ndo mahali pako