Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bila shaka hii itakuwa na maana nyingine ya kina kwenye mambo yenu ya kiroho - tornado na upinde wa mvua pamoja. Kimoja dalili ya amani na upendo, kingine maafa na uharibifu. Umoja unaokinzana. Maisha !!!
Be positive to both!
Mdomo unaumba!
Heri kuwa kama Yabesi kwenye Biblia Takatifu ‘
Au google Jabes Prayer!
Alikataa katu kuitwa laana!
Believe me it’s beautiful prayer
 
Makabila
Jamii nyingi za watu zimeishi na kushirikiana katika eneo la Tanzania bara kwa milenia nyingi.

Kati ya jamii hizo, nyingi zilikuja kutoka maeneo mengine ya Afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…