Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hatimaye kuna Wahadzabe wachache ambao utafiti wa DNA umeonyesha hivi karibuni wana uhusiano wa asili na Watwa wa nchi za Afrika ya Kati.
 
Pia kuna asilimia ndogo ya watu wenye asili ya nje ya bara la Afrika, kwa mfano Wahindi, Waarabu, Waindochina, Wafarsi, Wachina na Waingereza. Hii ilisababishwa na karne za mchanganyiko wa mahitaji ya biashara yaliyofanywa na mabara ya Ulaya na Asia hapo Afrika.
 
Ina maana ukigonga miaka 53 unaachana kabisa na biashara ya maparachichi yako? Umesha-diversify investments zako? Kama unategemea maparachichi pekee wafaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Diversifications????[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mtoto wa kiume bila kuwekeza sehemu tofauti tofauti ni kutaka kufa/kujitesa kwa msongo wa mawazo. Muhimu ni kuheshimu mitaji kwa kuto kuingiliana.

Habari ya jumatatu ndugu yangu,pole kwa yote yaliyo tokea.
Mimi kama mwenyekiti wako,naandaa mapicha picha ya mabata wadogo wadogo wanaogelea,wanaogelea katika..., ng'ombe na mbuzi wapo malishoni,jogoo wapo shambani,yaani ili mradi uzi wetu uendelee kuwa na mapicha picha ya kuvutia
 
Kiswahili ndiyo lugha ya taifa na inazidi kuwa lugha mama kwa watoto wengi, hasa mijini[3]. Walau asilimia 90 za wakazi wanakitumia walau kama lugha ya pili. Kiswahili ni mojawapo kati ya lugha za Kibantu: hii imesaidia sana kukubaliwa kwa Kiswahili nchini, kwa sababu idadi kubwa ya Watanzania ni wasemaji wa lugha za Kibantu. Kiswahili kinatumika kama lugha baina ya watu wa makabila mbalimbali na kwa mambo rasmi; kwa hiyo ni lugha rasmi ya dhati.
 
Baada ya uhuru, Kiingereza (iliyokuwa lugha ya kikoloni kabla ya uhuru) iliendelea kutumika kwa mambo kadhaa rasmi na kwa elimu kuanzia sekondari ingawa sera mpya inataka Kiswahili kishike nafasi yake hadi chuo kikuu[4]; kwa hiyo ilichukuliwa kama lugha rasmi ya dhati pamoja na Kiswahili
 
Lakini utumizi rasmi wa Kiingereza umepungua katika milongo iliyopita, na sasa utumizi huu karibu umekwisha. Kwa hiyo siku hizi ni kawaida zaidi kuchukulia Kiswahili kama lugha rasmi ya dhati pekee.
 
Nchi haina dini rasmi na katiba ya Tanzania inatangaza uhuru wa dini kwa wote. Mara nyingi idadi ya wafuasi wa dini hutajwa kuwa theluthi moja Waislamu, theluthi moja Wakristo na theluthi moja wafuasi wa dini za jadi. Lakini tangu uhuru swali la dini ya wananchi halijaulizwa tena katika sensa, kwa hiyo kadirio la theluthi-theluthi inawezekana ni zaidi azimio la kisiasa.
 
Hadi sasa idadi ya barabara za lami si kubwa. Kuna hasa njia nzuri kati ya Dar es Salaam, Mbeya katika kusini-magharibi, Dodoma katika kitovu cha nchi, Arusha / Tanga katika kaskazini-mashariki. Kusini-Mashariki na Magharibi ya nchi kwa jumla haina barabara nzuri na mawasiliano ni magumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…