Diversifications????[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mtoto wa kiume bila kuwekeza sehemu tofauti tofauti ni kutaka kufa/kujitesa kwa msongo wa mawazo. Muhimu ni kuheshimu mitaji kwa kuto kuingiliana.
Habari ya jumatatu ndugu yangu,pole kwa yote yaliyo tokea.
Mimi kama mwenyekiti wako,naandaa mapicha picha ya mabata wadogo wadogo wanaogelea,wanaogelea katika..., ng'ombe na mbuzi wapo malishoni,jogoo wapo shambani,yaani ili mradi uzi wetu uendelee kuwa na mapicha picha ya kuvutia