Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

The list bana...

Mjadala wangu na wewe nadhani niliufunga jana mkuu. Eti naposti hizi picha ili nikukomoe wewe. Nikukomoe kwani nakujua mkuu? Wewe ni nani kwangu au katika dunia hii? Are you that important? Empty set likely ni wewe mkuu ambaye unakesha kufuatilia watu usiowajua wanafanya nini mtandaoni utafikiri unawalisha. Hata nikiwa sina kazi na hii pengine ndiyo kazi niliyochagua maishani mwangu, we kinakuuma nini?

Siyo lazima uangalie wala kulike picha hizi mkuu. Kuna majoka hapo juu na mizimu like hiyo. Unapoteza muda wako bure na ni wazi unazeeka vibaya mzee wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…