Sis, sijasema lolote baya kuhusu nyoka; na kamwe huwa siingilii imani za watu. Nyoka mi siwaogopi (japo walishawahi kuniuma) ndiyo maana nimeshapanga siku nikifika Uchina ni kuwala tu. Nilikuwa namtolea mfano huyo mhafidhina na samahani kama nimeeleweka vibaya...Shimba! Nyoka ni alama ya uponyaji, hata Nabii Musa alimpandisha Nyoka mtini kule Nyikani!
Hawa Nyoka wana rangi sawa na bendera ya nchi yetu!
Imani nyingi sana huwa wanawaamini kama mungu!
Niko close na Charles Kitwanga kwa hiyo nilikuwa namwona jamaa alivyo na akili kubwa!Tangu ujanani. Makini. Sharp. No nonsense. Mzalendo [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Usijali my dear!Sis, sijasema lolote baya kuhusu nyoka; na kamwe huwa siingilii imani za watu. Nyoka mi siwaogopi (japo walishawahi kuniuma) ndiyo maana nimeshapanga siku nikifika Uchina ni kuwala tu. Nilikuwa namtolea mfano huyo mhafidhina na samahani kama nimeeleweka vibaya...
But after they went 2-0 down it all changed. A Chris Smalling free header halved the deficit and suddenly you backed United to win it. Suddenly they were on the same wavelength again. Suddenly they were a true representation of their manager’s values again.
Awesome victory!!!next game man u vs liverpoolSuddenly Numbisa was smiling and jumping up and down to celebrate this special win by her beloved team.