Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Numbisa kumpata shida sana. Nilimpata mara moja tu kwenye betting. Aaaaaaaargh !!!
4b77411cb3d541afed7e506e08fbdfb1.jpg
Hahahaha
 
Unavyozidi kujibu hivi ndio kiashirio cha uhalisia wako ulivo

Alafu this crap your bragging about sijui uhuru wa kupost..hakuna sehemu nimekukataza kupost nilicho shauri nikijua naongea(literally) na mwanadamu nikuangalia ungwana wa picha hizo

Ila kwa msisitizo kuonesha u empty set wako umeamua ku-bold kabisa..rubbish

nikuambie tu dogo wakati wewe na ninafahamu bila shaka saiv ni almost saa 11 alfajiri apo ulipo..mimi kwangu nilipo jua linawaka saivi..

emu badirika mwanangu..mimi najua ni pepo hilo na ni jukumu kulifukuza

Nitakusaidia mwanangu.
Kwan unajua yupo wapi? Na wewe upo wapi? Au ukisema upo majuu unataka tukupapatikie au,huu uzi umevamia potea basi sidhan kama utapungukiwa kitu
 
-Inaonekana hiyo unayoita 'kupapatikia' ndio tabia yako kuu, maana umekuwa 'mwepesi' kujihisi na 'kushoboka' kuqoute comment isiyokuhusu

-Hii i.d The List 'inakuwasha' kwa ule mtindo wa ki 'makhirimakhiri' kias kwba ata baada ya kukuignore leo umeamua ukeshe ili umuone The List lakini kama haitoshi ukaamua kabisa kumqoute

-Unakuja moto lakini nikuahidi mpaka nimalize utakuwa umepoa mithiri ya panya aliyenasa mtegoni.

Idiot!!
Conor hahahhahahah huwa sikimbiag magasho mie pole sana.

Kinakuwasha ee umekuja tafuta wa kukuchokonoa maskin weee hakuna humu kitoe tu katafute huko nje

Hahahahah u know life iz gud eti nimekesha mayoooooo una ndoto za alinacha

Cheki unavyolia mweeee
 
Back
Top Bottom