Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

 
 
yaani unasubiri usiku uje kuona halafu unalalamika!!!!!!!!!!!!!
Enzi za utoto kijijini hukoo,tunakuwa mbugani tunachunga ng'ombe,na mvua zinanyesha sana,mvua za masika. Bahati mbaya unakanyaga mavi (mtu alikula kande ameharisha) unajifuta maana haujavaa viatu.
Unaungana na wenzako,mara unagundulika unanuka mavi,unagundulika yamenasa katikati ya vidole,unawaelekeza umeyakanyaga sehemu fulani.
Wanaomba ukawaonyeshe mzigo ulipo,ile kuuona tu,wanashika pua,wanatema mate na kutoka nduki.... Mungu wangu!!!

Sijui kwanini wanadamu tunapenda kuviona tusivyo vipenda?
Au ndio ile "kutovipenda unavyo vipenda kwa dhati"!!

Good morning my people[emoji120] [emoji120]
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…