Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Goodmorning andjul. Siku imeanza furesh
Hakika.
Mungu aliye JUU ana haja nasi,uwepo wetu ni makusudi yake BABA.
Ni siku njema iliyo jaa baraka,tunyenyekee mbele ya BWANA MUNGU wetu ili tukapokee kilicho andaliwa kwa yetu.
Tusinyosheane vidole kwa namna yoyote ile maana sisi si watimilifu.

Tuwe na siku njema[emoji120] [emoji120]
 
Hiki unachokifanya hakina mwisho mzuri kwako dogo.

Kama haya ndio maisha uliyochagua ya kukesha, kuchagua kidownload na kisha kupost misambwanda una hatari sana dogo

unaweza kufikiri unamkomoa The List lakini ujue kwamba unakomoa wazazi na ndugu zako..ivi una tofauti gani ww na ka msukule sasa maana huna kazi zaidi ya hii na inapofika asubuh unalala..empty set kabisa

RUBBISH RUBBISH RUBBISH
yaani unasubiri usiku uje kuona halafu unalalamika!!!!!!!!!!!!!
 
The list bana...

Mjadala wangu na wewe nadhani niliufunga jana mkuu. Eti naposti hizi picha ili nikukomoe wewe. Nikukomoe kwani nakujua mkuu? Wewe ni nani kwangu au katika dunia hii? Are you that important? Empty set likely ni wewe mkuu ambaye unakesha kufuatilia watu usiowajua wanafanya nini mtandaoni utafikiri unawalisha. Hata nikiwa sina kazi na hii pengine ndiyo kazi niliyochagua maishani mwangu, we kinakuuma nini?

Siyo lazima uangalie wala kulike picha hizi mkuu. Kuna majoka hapo juu na mizimu like hiyo. Unapoteza muda wako bure na ni wazi unazeeka vibaya mzee wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
57a822507abe74ae09bd187417420cce.jpg
kuna watu wana msongo wa mawazo..USIKU MNO WANAKUJA KUONA PICHA HALAFU WANALALAMIKA!!! AGHRRR
 
Hakika.
Mungu aliye JUU ana haja nasi,uwepo wetu ni makusudi yake BABA.
Ni siku njema iliyo jaa baraka,tunyenyekee mbele ya BWANA MUNGU wetu ili tukapokee kilicho andaliwa kwa yetu.
Tusinyosheane vidole kwa namna yoyote ile maana sisi si watimilifu.

Tuwe na siku njema[emoji120] [emoji120]
Amen
 
Nilikuambia unakuja moto utarudi wa baridi..na hii ndio tafsiri ya 'dont hunt what you cant kill'.

Uliota kwa muda mrefu sana The List lini atanikuna..na leo kiu yako imetimizwa ila bahati mbaya kabla sijakuangushia phatom zenyewe kwa mtindo wa 'Boko Haram' umekimbia.

Hii inaitwa TII KIU YAKO kwa phatom hizo najua si moshi tu 'maliwatoni' saivi panawaka moto na kile 'kitega uchumi' kina toa 'usaa' wa jasho kwa muda huu.

siku nyingine ukiniona thibiti muwasho wako maana ukiuleta kwa The List kama ulivo fanya leo basi bila hiyana nitakupokea kwa mikono miwili na nita TII KIU YAKO

THE LIST

TII KIU YAKO.
 
Back
Top Bottom