Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

(13).png
 
Mbona sioni tusi hapo mkuu? Utamtwanga McGregor au utachakazwa?
Kufananisha thamani ya mwanamke na ng'ombe wewe unaona ni sawa?
[emoji23] [emoji23]

Huyo Conor McGregor mtoto mdogo tu alikuwa anawaonea mapopoma wenzake huko kwenye kickboxing ila kaja ulimwengu mwengine wa michezo lazima cha moto akione [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom