mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Gr8 Mkuu niajeHamjambo humu
Imani tofauti tofauti. Na katika utofauti huu ndimo mna ukamilifu na uzuri wa binadamu !!!Sana!
Niliishi na familia moja nilivyokuwa marekani, usiku kabla ya kulala lazima waangalie movie yenye Nyoka!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wacha niibe nione*Hapo ulipo hakuna hata mtu amewahi kusema wewe ni handsome ila iba uone*
*Utasikia "halafu mkaka mwenyewe mzuri tu sijui kwanini anaiba"*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kweli Mola apewe sifa zote na Asante sana kwa maombi yako!Jumanne imekaaje
IndeedImani tofauti tofauti. Na katika utofauti huu ndimo mna ukamilifu na uzuri wa binadamu !!!
Ana sifa gani? Kuwa na sumu kali kuliko nyoka mwingine ye yote ama?Sifa za huyu nyoka nazipenda sana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Uboya ni nini ? Uboya ni kutogonga likes hapa
Halafu anatembeaje huyu?
Gr8 kwa kweliHamjambo humu
Utauliwa mkuu. Acha kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wacha niibe nione
Indeed!Usimkimbie huyo ni black mamba nyoka hatari kabisa duniani