Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sio ya kuumiza kichwa...
c980dff029aca9349b370203cf7ffdf2.jpg
Hahahahaha
 
The list bana...

Mjadala wangu na wewe nadhani niliufunga jana mkuu. Eti naposti hizi picha ili nikukomoe wewe. Nikukomoe kwani nakujua mkuu? Wewe ni nani kwangu au katika dunia hii? Are you that important? Empty set likely ni wewe mkuu ambaye unakesha kufuatilia watu usiowajua wanafanya nini mtandaoni utafikiri unawalisha. Hata nikiwa sina kazi na hii pengine ndiyo kazi niliyochagua maishani mwangu, we kinakuuma nini?

Siyo lazima uangalie wala kulike picha hizi mkuu. Kuna majoka hapo juu na mizimu like hiyo. Unapoteza muda wako bure na ni wazi unazeeka vibaya mzee wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
57a822507abe74ae09bd187417420cce.jpg

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaa naona anakuandama sana tangu jana
 
Back
Top Bottom