Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Nitakuja mimi kukubandua ili ukasome nyuzi zingine [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unaweza kukaaa masaa mawili hujabanduka hata kusoma uzi mwingine... mtu ukiwa humu eeeh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii ni quote ilianzishwa na Pete Edochie an Actor in Nigerian Movies.
Miss chagg na Miss Natafuta
AMUN RA nahitaji mtu wa kuniongoza 2000usd kwa kuanzia zipo tayari lakini sijui nifanyeje help me my broBila kujisomea kwanza na kupata mtu wa kukuonyesha onyesha mambo hasa mwanzoni ni ngumu sana. AMUN RA [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ndio boss nawapangia kazi kibitiWe jifarague tu. Cole na Bigbaba wakitia guu hapa sijui utafanyeje [emoji23][emoji23][emoji23]